Jumanne, 26 Novemba 2013

Fahari ya Tanzania, Ngome kongwe, Zanzibar

Mji wa Zanzibar ni moja kati ya miji ya kihistoria inayopatikana Tanzania inayobeba historia ya miaka mingi iliyopita na matukio ambayo kizazi cha sasa wanapaswa kuyafahamu kwani ni moja kati ya chimbuko la Tanzania



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni